๐ฅ TRICK –
Unataka kujua kama simu yako ni ORIGINAL au feki? Fanya hivi haraka ๐
✅ Dial: *#06#
➡️ Utaona IMEI Number ya simu yako (au IMEI mbili kwa dual SIM)
๐ Kisha tembelea:
๐ www.imei.info
➡️ Weka hiyo IMEI
➡️ Utaona:
Model ya simu
Brand
Tarehe ya kutengenezwa
Specs zote
⚠️ Kama taarifa haziendani na simu yako – HUENDA ni fake/copy!
๐ก️ Epuka kununua simu za mtumba bila kuangalia IMEI verification kwanza!
