๐ฃ ANGALIZO KALI! Iwe ni kwenye channel au magroup ya WhatsApp – kama unafundisha hacking (iwe ya kawaida au ya "ethical") ⚠️, ujue unajiweka kwenye hatari kubwa sana!
๐ WhatsApp imeanza KUFUNGA akaunti zinazohusishwa na:
Kufundisha au kusambaza mbinu za hacking ๐ฅ️๐ฃ
Kushiriki tools au links za kudukua ๐๐ ️
Kujadili udukuzi bila msingi wa kitaaluma au kisheria ๐
๐คฏ Akaunti yako, channel yako, na group lako vinaweza: ❌ Kufutwa bila onyo
❌ Kupoteza washiriki na mawasiliano
❌ Kukuletea matatizo ya kisheria katika baadhi ya nchi ⚖️
---
✅ TUNASISITIZA: ACHA KABISA kufundisha hacking kwenye WhatsApp!
๐ Kama unataka kufundisha au kujifunza cybersecurity kwa njia sahihi na salama, tumia majukwaa haya:
๐ TryHackMe
๐ง Hack The Box
๐ Cybrary
๐ป Coursera
๐ง๐ซ Udemy
---
๐ฌ Tafadhali sambaza ujumbe huu kwa magroup na channels zingine. Tujilinde, tufuate sheria, na tusisababishe akaunti kufutwa kwa kutojua.
๐ Wacha tufundishe kwa njia sahihi na salama!
`Ashante` `shana`
