Notification texts go here Contact Us Buy Now!

UNAJUA NINI KUHUSU MATUMIZI YA FOIL

 



` (aluminium foil) KWENYE SIMU KUBWA (smart phone )?๐Ÿค”`


Mara nyingi tumezoea kuona foil ( aluminium foil) zikitumika kwenye kufungia chipsi ๐Ÿ˜‚vibandani

Je, umeshawahi kujiuliza unawezaje kutumia aluminium foil kwenye smart phone ?

Shuka nayo hii mtu wangu ๐Ÿฅด๐Ÿฅด

⚠️ISITUMIKE KWA UHARIFU WAZEE ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ikitokea umeokota simu, umeiba๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… au hutaki watu wakusumbue basi chukua SIMU yako (smart phone) kisha ifunge kwenye aluminium foil kama unavyofungaga chipsi au kuku na hakikisha FOIL yako haijatoboka ( usiruhusu hata upenyo kidogo ) kisha weka simu yako sehemu yoyote ile

--Hata iweje hautaweza kupatikana na mtu yoyote yule iwe kwa kupiga simu๐Ÿ“ž, kutuma message, au ku track๐Ÿ“ฅ๐ŸŒ 

⚠️Calls, message za online au normal zitaingia baada tu ya kuitoa simu yako kwenye Aluminium foil ๐Ÿšซ

⚠️Baada ya kuiba hiyo simu kabla hujafika k/koo kwenye chimbo letu tafuta FOIL yako mapema uweke tambo lako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

*TEMBELEA SITE YETU UPATE VINGI ZAIDI KUJIFUNZA* 

LINK ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

https://www.nassirceo.site

Post a Comment

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.
Tafadhali! Tujulishe kipi tunaweza kukusaidia siku ya leo?
Type here...