๐นHii njia sio mpya ila ina maukalia yake ambayo ni vizuri kama watu mkiijua, Kwenye hii njia uanweza ukatengeneza picha kali kwa kuweka picha yako na kuongeza maneno machache ambayo yatatumika wakati wa utengenezaj i wa hiyo picha
๐นhapo sasa fata steps zifuatazo ili kuwekza kutengeza picha kali kwa kutukia chagpt
Steps
๐๐จDownload ChatGPT Playstore
๐๐จFungua ChatGPT alafu Sign Up
๐๐จClick button ya Plus
๐๐จClick Photo mbili ambazo unatak ziunganishwe
๐๐จAndika maneno yafuatayo
๐ป๐ฎ "Ultra-detailed portrait of a confident young man in natural sunlight, wearing casual modern streetwear, soft shadows on the face, shallow depth of field, warm skin tone, sharp focus on the eyes, 4K resolution, cinematic style, subtle background blur (bokeh), captured with a 50mm lens look, realistic skin texture, minimal makeup, peaceful expression, golden hour lighting, studio-quality lighting balance."
๐๐จHapo unaweza kuedit kidogo
๐๐จBonyeza Send
๐๐จWait kidogo
๐๐จEnjoy
♍️Baada ya hapo utaona matokea, hii apa mfano unataka kukutana na ronaldo unaweza chkua picha yako yenye quality na ya ronaldo ukazipost pale, kabla haujzituma ukaandika tengeza hawa watu wawili wawe kama ronaldo amektana na fan wake wapiga picha
Note
๐ผHii njia unaweza tengeneza picha chache baada ya hapo itahtajika wewe kulipia ila ukiwa mjanja unakuwa na email zaid ya tatu kwahyo upande huu ukiiisha unaingaia upande mwingine
๐ฆ Kwisha๐ฆ
