JE, UNAJUA UNAWEZA KUANGALIA MAHALI SIMU YAKO IKO HATA IKIWA IMEZIMWA?
(Wengi hawajui hii... lakini wewe utakua Pro.)
HOW?
Kwa Android:
1. Nenda kwenye: Settings > Security > Find My Device — hakikisha imewashwa.
2. Ingia kwenye
https://www.google.com/android/find
3. Utaona simu yako iko wapi (hata ikiwa silent, na ikiwa imezimwa, utaona location ya mwisho kabla haijakata).
Kwa iPhone:
1. Nenda: Settings > [Jina lako] > Find My > Find My iPhone
2. Washa “Send Last Location”
3. Then visit https://www.icloud.com/find
kwa android
Ukiona simu yako haipo, unaweza:
Kuifunga remotely na kuweka ujumbe (“Rudisha hii simu tafadhali... kuna zawadi.”)
Kuisafisha data yote remotely (kama kuna info za kazi, picha, n.k.)
๐
Inshort kwa Tz nyie saahuni tyuuuu ๐คฃ mlivyo kuwa wagumu hamuwashi hata data hii njia wewe sahau tyuuuu coz some how utaona location ya mwisho AMBAYO ulikuwa online ๐ sasa location ikitokea nyumban kwako na simu ibeporwa sokoni ujue mwizi kakupelekea nyumbani but CeoTech naweza kukutafutua simu Yako mna karibishwa DM but sio Bure
> All right reserved by Ceo tech and his support team
