Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JE, UNGEPENDA KUMPIGIA MTU SIMU ASIYOJUE NI WEWE




 JE, UNGEPENDA KUMPIGIA MTU SIMU ASIYOJUE SI WEWE ? BASI…



(Kwenye filamu labda, lakini si Tanzania…)


Unawahi kufikiria jinsi inavyokuwa kwenye movie zile kali? Mtu anapiga simu, lakini upande wa pili unaona tu: "Private Number" au "Unknown Caller" — unajikuta unashangaa ni nani huyo, unapokea kwa hofu, au unakataa kabisa.



Basi, pengine nawe umewahi kutamani kujaribu hiyo trick — kuficha namba yako kwa makusudi ili:


Upige bila kujulikana


Ufanye surprise call


PIGA CODE *31#




Lakini dah, kwa bahati mbaya…


Kwa sisi waTanzania, hiyo mbwembwe ya kuficha Caller ID haipo ๐Ÿคฃ

Ukiitumia, badala ya kupiga kimafia, simu yako haitapiga kabisa mpaka urudishe Caller ID!




Kwa Nini Hivi Inashindikana Coz nchi yenu inasema nyie ni matapeli wa mtandaoni ๐Ÿคฃ



Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeweka masharti maalum yanayowataka mitandao yote (Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel n.k.) kuhakikisha kuwa kila simu inayoingia na kutoka inaonyesha namba ya mpigaji. Hii ni kwa sababu:


Kuzuia uhalifu wa kimtandao na vitisho kupitia simu.


Kuwezesha usalama wa kitaifa – serikali iweze kufuatilia mawasiliano yoyote yanayokiuka sheria.


Kufuatilia makosa ya jinai kwa kutumia ushahidi wa mawasiliano.



Kwa hivyo, ku-disable Caller ID (kutumia #31# au kuzima kwa settings) kunaifanya simu yako ishindwe kabisa kupiga mpaka uwashe tena.


Kwa Wanaojaribu Ku-bypass…


Hata ukibadilisha line, simu, au OS — kama uko Tanzania na unatumia line ya Tanzania, system ya mtandao itakataa.

Hii trick inafanya kazi kwa baadhi ya nchi tu, lakini sio kwenye ardhi ya bongo yetu!





Kwa ufupi: Nikijipata tyuuuu nasepa nchini kwenu sitaki ujinga ๐Ÿคฃ mna banwa Kila idara ๐Ÿคฃ sasa mawasiliano mnafatilia wakati account za police zilihakiwa




> All right reserved by. Ceo Tech and his support team

Post a Comment

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.
Tafadhali! Tujulishe kipi tunaweza kukusaidia siku ya leo?
Type here...