#DigitalFacts
*Cookies kwenye browser ni nini? Na hufanya kazi gani?* ๐ช๐ป
*Cookies ni biskuti za kula* ๐ค๐
Hahah hapana bhana sio biskuti..
*cookies* ni vipande vidogo vya data vinavyohifadhiwa na browser yako unapofungua website.
*Je, Hufanya nini?*๐
๐ *Kukumbuka login zako* (username & password)
๐ *Kukumbuka vitu ulivyoweka kwenye cart*( Kwa wale wanaopendelea kutumia maduka ya mtandaoni kumunua bidhaa)
๐ *Kufuatilia tabia yako mtandaoni* ( Kwaajili ya matangazo ambayo yatahusiana na vile unavyotafuta mtandaoni)
*Kuna aina mbili:*
✅ *Session cookies* – Hizi hufutika ukifunga browser
๐ *Persistent cookies* – Hizi ni zile ambazo hubaki kwa muda hadi uzifute.
*Kwa kifupi:*
*Cookies* hufanya browsing iwe rahisi na haraka, lakini si cookies zote ni salama – zingine hutumiwa kukufuatilia. *Kuwa making*๐ฅท
