⚠️Hii mbinu unaitumia pale ambapo windows imezingua au imecorrupt na hauna windows ingine ya kuweka, Hii Mbinu itakusaidia kusolve tatizo lako bila kufuta vitu vyako vya maana na haichkui mda mrefu
⚠️Fata Steps apo chini kutatua tatizo la windows ambalo halikuruhusu kuitumia computer, au inaishia kuwaka alafu haioneshi Chochote
Steps
๐️Zima Pc Yako Kwanza
๐️Washa Pc Yako, (Press Power Button)
๐️Kabla Haijaleta Logo Ya Window Press (F8, F9,F12)
๐ฅ️Hizo Button zinatofautiana computer kwa computer ila lengo ni kufungua Advanced Startup Mode ( Jaribu Zote Kwa Kuzima Na Kuwasha Mashine Mpka Advanced Startup Mode Ifunguke)
๐️Advanced Startup Mode Ni Ya Blue Ina Option Nne
๐ฅ️Continue
๐ฅ️Use a device
๐ฅ️Troubleshoot
๐ฅ️Turn Off Your Pc
๐️Click Troubleshoot
๐️Click Reset This Pc
๐️Click Keep My Files
๐️Click Local Reinstall
๐️Resetting Pc
๐️Done
⚠️Baada ya hapo utaseti Pc yako upya kama umeweka Windows mpya, na pia hii njia naitumiag kama Windows Defender Ikiwa Imeliwa na Virus Au Virus Wamezidi Kwenye Pc Au Pc Ipo Slow
Note
⭕️Kuna Matatizo Mengin Ya Windows Hayafai KURESET, itakubidi Uweke Upya Windows, Na Unaweza Ukareset Pc Kwa Ndani Kwa Kusearch Reset Ambayo ItaFanya Procesa Zote Apo Juu Moja Kwa Moja
⭕️ ceotech
