watu wengi mnakuja inbox kuniuoliza utaweza ingiza vp pesa mtandaoni sawa Leo tuone inakuwaje Anza kwa kureact kweny hii post kwa kisha tondosha comment kwa nguvu ilituwe pa moja
Tuanze
1. Content creator
Kama una mudu kutengeneza content kweny social media mfano TIKTOK, INSTAGRAM, FACEBOOK, YOUTUBE ili kulipwa na hizi social media inabidi uwe na followers 10k ma international account kutengeneza international account elfu 5 mfano TikTok inalipa kwa post ukitengeneza content watu wakapenda unalipw zaid
2. Web development
Uwe na ujuzi wa coding kutengeneza website ima unamtengenezea mtu au ya kwako binafsi je Kam website ni yako binafsi utapataje hele Kuna kitu kinaitwa ads utalipwa kutokana na watu watakao tazama ads kumtengeneza mtu website sio chini ya laki 3 hapo ni website ambayo Haina mambo mengi angalia website yetu ๐ https://ittechbro.neocities.org
https://www.nassirceo.site
3. Video editing
Ukiwa na ujuzi wa kutengeneza edits kali video editing sababu content creator wengi wanatafuta watu wa ku edit video zao
4. Betting
Kama uko vizuri kweny kubeti prediction zako ni uhakika unaweza uzia watu mikeka walipie kila kitu ni kuaminiana kama mechiz zako zinatiki watarudi tyuuu
5. Uwe I.T
Kama una ujuzi na simu na computer unaweza kuwa unawasaidia watu shid zao kwa malipo Yan wawe wanakulipa kwa kazi unayo Fanya trust simu kila siku Zina shida mpya
6. Kuwa dalali wa mtandaoni
Yeah madalali wa mtandaoni wapo wanachofanya wao wanakuunganisha na mtoa huduma lakn Wana pandisha bei mfano bei ni elfu 20 wao wanasema 30 ukilia Lia misho 25 hapo ya kwako elfu 5 ๐
Hizi biashara hazihitaji mitaji mkikubwa lakin zinataka uvumilivu kutokana matapeli kuwa wengi mtandaoni so Jenga Imani
> ๐ง “© 404 Rights Not Found – Mr Tech
Nassirceo
