1. Bug ni Nini?
Bug ni kasoro katika programu (software) inayosababisha programu kushindwa kufanya kazi kama inavyotarajiwa.
Katika WhatsApp, bugs zinaweza kusababisha:
App freeze
App force close (inafungwa ghafla)
Device reboot au shutdown
2. Aina za Bugs Zinazoweza Kusababisha Crash
a) Text Bomb / Message Bomb
Ni meseji yenye mchanganyiko wa alama, emojis, au symbols zisizo kawaida.
App haiwezi kushughulikia data hii, na mara nyingi ina freeze au ina crash.
b) Media File Corruption
Picha, video, au audio yenye data iliyoharibika.
Kusoma au kuplay file hii inaweza ku-crash app au kuathiri memory ya device.
c) Memory / Resource Overflow
Kutuma data kubwa sana au mchanganyiko wa data usio sahihi.
Kunaweza kutokea buffer overflow, ambapo memory ya app au device inazidi kushughulikia data.
Matokeo: Device inashindwa kufanya kazi, ku-reboot au kuzima.
d) App Exploit Flaws
Bug ndani ya code ya WhatsApp yenye logic flaw au race condition inaweza kutumika ku-crash app.
Hackers hujaribu ku-exploit hizi bugs, lakini mara nyingi zinatengenezwa fixes (patches) haraka na WhatsApp.
3. Athari kwa Device
1. App Crash – WhatsApp haifungui, meseji hazionekani.
2. Device Freeze – Simu inaweza kuwa inactive kwa muda.
3. Force Reboot / Shutdown – Device inaweza kuzima ghafla kutokana na overload ya memory.
4. Data Loss – Meseji, picha, au video zinaweza kupotea kama hakuna backup
