Notification texts go here Contact Us Buy Now!

Tumia hii app kuweza kufanya simu yako kuwa PC

 



๐ŸŽ‰ WINDOWS SIMULATOR KWA ADROID 


๐Ÿ—️ Tumia hii app kuweza kufanya simu yako iweze kufanya kazi kama computer au laptop, Watu wengi wamezoea LAUNCHER ambazo zinabadilisha muonekano wa simu 


๐Ÿ—️ Ila hii ni windows simulator, kama wale tunaocheza games za PS2, PSP na PS3 kwenye simu huwa tunatumia emulator ambayo inafanya simu zetu zinakuwa PS


๐Ÿ—️ Kwahyo hii apa pia utaweza kuRUN softwares Za pc na kila kitu kinachohusiana na windows kwenye simu yako


``App Link``

https://t.me/addlist/0PIOeuz1kaUzNTU8


Note

☀️ Sijatest hii App ila sehem nlipoitoa ni mahali salama, kwahyo kwa watakao INSTALL watatupa feedbacks na kama kuna MASWALI tutasaidiana kwenye comments 


๐Ÿฆ Kwisha๐Ÿฆ 

Post a Comment

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.
Tafadhali! Tujulishe kipi tunaweza kukusaidia siku ya leo?
Type here...