Si mnakumbuka ile Feature iliyopo kwenye view at once ukitumiwa picha ya kuangalia mara moja unashindwa kupiga skrini shoti sasa imeamia kwenye profile picha.
Kampuni ya Meta kupitia mtandao wametambulisha Feature mpya kwenye Whatsapp ya kuzuia watu kuchukua profile picha yako bila idhini yako.
Sahisho hili linalenga kuimarisha usalama wa mtumiaji kwa kuweza kuzuia watu kuchukua Picha ya mtu iliyopo ya mtu Yeyote iliyopo kwenye profile na kuhifadhi kwenye simu yake bila ruhusa au idhini ya mmiliki wa hiyo picha.
Feature hii inapatikana kwa watumiaji wote wa Program ya Whatsapp kwa Android na iOS kwa ujumla unachotakiwa ni kufanya update tu ya Whatsapp yako.
#ceo
